JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yeah man inabidi tukubaliane na uhalisia pia

Chukulia mfano shuleni Kuna wanaopiga Division one na wengine wanapiga 0

Kwenye maisha pia mtaani kuna watu wanalala Kwenye mabox barabarani maisha yamewachapa na kuna mwingine maisha kayapatia anaishi Kwenye mjengo mkali anapush ndinga kali


So Kwenye ndoa it's the same story...kuna waliopo Kwenye ndoa wanafurahia na wengine wanapaona pachungu
Kabisa maaa dunia ina watu wengi kila mtu ana mtu wake ana mmudu kwa shida kwa stress na raha so tuishi humo hatuwezi fanana kamwe, kila mtu ana tabia zake tamaduni zake makuzi yake yote haya yanamsaidia kuchagua mtu atakaefanana na tabia ili kuweza kuishi nae
 
Ni kweli ukiwa busy sana huwezi kuwaza wanawake ,

Labda nachokiona hasa matajiri hawaoi kwasababu mwanamke atampendea jamaa pesa zake so wanajiona katika eneo hilo kumpata mtu sahihi ni vigumu ukiangalia taarifa zao za kiuchumi na utajiri zipo wazi dunia nzima zinajulikana,so wanaona hakuna mwanamke watakuja au wamtongoze wakatae niwachache sana 2% mimi naona sababu kwao ya kutokuoa ipo hapo
Pamoja na kuwa hawanaga muda hawa elon musk ana work 17 hrs daily hivyo ana squeeze 7 hrs kwenye (kula,kulala,kuoga,kupiga mswaki, e.t.c) hivyo unakuta no time and energy for pussies [emoji846]
 
Back
Top Bottom