JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Alishanikataza, niyeye tu anatakiwa kunifanyia. Mimi nimeenda leo mwili unauma. Tuyaache tu mmmh!!!

Simba yenyewe wanga wachawi wakubwa nyie. Naanzaje kuwa mimi nikizeeka?
😂😂😂😂Anakukataza af ukute yy mwnyw hata kufanya hajui au hana muda.. Alaf anakasirika😂😂
 
Sina raha sana leo. Kwanza simba wamefunga [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Pili nilienda fanyiwa massage my babe hajapenda kakasirika [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hata sijapentaaaa kabisa unafanyiwaje masaji n,ila hilo la simba kushinda utanisamehe naipenda simba banah [emoji12] we vipi
 
Hii ni suruali ya mwanasimba...View attachment 2530109
Screenshot_20230220-005906_1.jpg
 
Back
Top Bottom