JamiiForums Usiku wa manane
Hakuna pahala tumewazidi, na Wana tumia akili sio miguvu.

Ungetizama kipindi Cha pili Simba tumekuja na speed wakatukubalia Kwa mda kdgo Kisha wakafunguka na kutuchezea kama hatumo.

Kingine defense yetu Bado.
Inahitaji kuundwa upya😲😲.
Simba inahitaji kusukwa upya kimataifa kwa kikosi kile tusingetoboa hata ligi kuu tu hapa bongo bado tia maji
 
01:13 Enjoy guys, hongera vijana wa jangwani. Wakiongozwa na
Screenshot_20230220-005906_1.jpg
 
Back
Top Bottom