Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,138
Ipi hiyo...? Japo kwa ufupi...Shida Intelligent businessman lina big meaning kwangu
Ipi hiyo...? Japo kwa ufupi...Shida Intelligent businessman lina big meaning kwangu
It's up to you, but that remains my choiceHapo mi sikuungi mkono ✋
Kawaida tu si wako home. Miye mwenyewe nikiwa home, sitaki shida vitu laini laini, shorts basi. Wee huwezi kwahiyo?Sijui mi mwenzenu ni ushamba au uparoko umenizidi🤔🤔
Leo nilienda kumcheki jamaa yangu kapanga mitaa fulani, basi hiyo nyumba wamo vijana wa Kila rika.
Kuna vijana wa kike na kiume, kilichonishangaza na kunifanya ni ghairi hata mission ilionipeleka kule ni life style yao ya ajabu.
Just imagine kijana wa kiume anashinda kutwa nzima amevaa boksa huku yuko kifua wazi🤔🤔.
Hawa mabinti ndo majanga tu, watu wnashindia vi skintight au tupensi tufupi, miksa juu kavaa singledi 🙄🙄
Duh ni hatarii
Bantu Lady National Anthem Mwachiluwi Poor Brain Dahan
Sipendi kuweka wazi sikuizi, yaliyonitokea yanatoshaaIpi hiyo...? Japo kwa ufupi...
Unajijua ety ahahahahSipendi mwanamke anayevaa nguo za nusu uchi, au style za kihasara hasara
Sawa sawa... Ila dharau sasa...It's up to you, but that remains my choice
Siwezii, labda ndani kwangu. Ila outside🤔🤔 mpaka wanaenda dukani mtaa wa 7 for real??Kawaida tu si wako home. Miye mwenyewe nikiwa home, sitaki shida vitu laini laini, shorts basi. Wee huwezi kwahiyo?
Japo kwa ufupi ... ? Upo sehemu salama usiogopeSipendi kuweka wazi sikuizi, yaliyonitokea yanatoshaa
Dharau ipi Tena, sorry if I have hurt your expectationsSawa sawa... Ila dharau sasa...
Hawezi 😂😂Kawaida tu si wako home. Miye mwenyewe nikiwa home, sitaki shida vitu laini laini, shorts basi. Wee huwezi kwahiyo?
Hio kwa ufupi, maybe next time nikiwa nachukua award flani hivii🤗Japo kwa ufupi ... ? Upo sehemu salama usiogope
Duuuh acha basi... Businessman hatupo hivo bhanaHio kwa ufupi, maybe next time nikiwa nachukua award flani hivii🤗
Yeah bro, japo nina many friends wanna style hizo. Ila wanajua huwa sifagilii miondoko hiyoUnajijua ety ahahahah
Mpo wachache sana.. kuna mwingine yupo huku . 😂Yeah bro, japo nina many friends wanna style hizo. Ila wanajua huwa sifagilii miondoko hiyo
Hapa nilipo nishapigwa juju, kisa ukiherehere wangu. So next time brooYeah bro, japo nina many friends wanna style hizo. Ila wanajua huwa sifagilii miondoko hiyo
Ila nikionaga binti, kavaa kiheshima flani. Huwa na feel safe🤗🤗Mpo wachache sana.. kuna mwingine yupo huku . 😂