SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
Arsenal tunawasubiria 26/4 tukawapakate vizuri pale etihaf stadium watoto wadogo wacha wajiliwaze kwa hii miezi miwili maana tukishikilia usukani may ndo kwishnei 😹😹At least Arsenal alirudisha furaha lakini Simba FC akanipokonya tena. Wacha nipambane lindoni hapa.
Bantu Lady najua wanicheka kichinichini huko ulipoðŸ˜