10 minutes Gone04:30
Una matatizo wewe....😂😂😂Ila nikionaga binti, kavaa kiheshima flani. Huwa na feel safe🤗🤗
Daah muoga mnoo...Hapa nilipo nishapigwa juju, kisa ukiherehere wangu. So next time broo
Nina bro angu mmoja ana fanya kazi kcmc chuo Cha moshi, aisee Kuna pisi mpaka zinakeraaaUna matatizo wewe....😂😂😂
Hapo unakereka na nini...? KhaaaNina bro angu mmoja ana fanya kazi kcmc chuo Cha moshi, aisee Kuna pisi mpaka zinakeraaa
Namaanisha pisi kaliiiHapo unakereka na nini...? Khaaa
Mbona umechelewa hivyoo, wenzio washahesabu nambaAmkeni
Naona una amsha walio macho..Amkeni
Ewaaaah....
No retreat no surrender 05:21
Tukabidhi lindo mkuu, tukamkumbuke Mungu siku za ujana wetu kabla hazijaja siku zilizo mbaya, 06:05 tchaoo.
Kumbe mwanasimba mwenzanguAt least Arsenal alirudisha furaha lakini Simba FC akanipokonya tena. Wacha nipambane lindoni hapa.
Bantu Lady najua wanicheka kichinichini huko ulipo😭
AminaTukabidhi lindo mkuu, tukamkumbuke Mungu siku za ujana wetu kabla hazijaja siku zilizo mbaya, 06:05 tchaoo.