National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,203
Hata akamtoa Mwanae wa pekee, ili kila amuaminie asipotee bali awe na uzima wa milele😊😊Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu..... National Anthem malizia
Bali awe na uzima wa milele.AminaHata akamtoa Mwanae wa pekee, ili kila amuaminie asipotee😊😊
Kalee ka wimbo 🎶🎵🔊Mida ya morning glory hii
.........na Roho wa Mungu akatulia juu ya uso wa maji..... haya Meldah maliazia palipo achwa wazi😊😊Bali awe na uzima wa milele.Amina
Meshindwa🤣🤣🤣🤭.........na Roho wa Mungu akatulia juu ya uso wa maji..... haya Meldah maliazia palipo achwa wazi😊😊
🌺 Hakika nipo tayari Bwana🙏🙏🙏🙏
😅😅😅😅Meshindwa🤣🤣🤣🤭
Amina🙏😅😅😅😅
Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Mungu akasema iwe nuri, ikawa nuru 😊
ngoja niongozee sauti watu wote wamjuee, wamwaminin, wamtumikie, wamsujudiee
ngoja niongozee sauti watu wote wamjuee, wamwaminin, wamtumikie, wamsujudiee
Mungu akulinde popote ulipo.
Amen.Mungu akulinde popote ulipo.
Narudi kulala round 2
May God bless you man🙏View attachment 2523670
.... anatuwazia mema