Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,503
- 3,514
01:36am
Umepotea Sana chief, vipi bm6 kaposti kule??01;48
Ya juzi umeiona?Umepotea Sana chief, vipi bm6 kaposti kule??
Ile walioenda hotel Zanzibar??Ya juzi umeiona?
Jamaaa uko serious kabisa??Mwenye ako na extra wife au side chick naomba msaada, dah usiku unakua mrefu sana, njoo DM
Mwenye ako na extra wife au side chick naomba msaada, dah usiku unakua mrefu sana, njoo DM

Hakuna cha DM sema uko wapi nikuunge😆Mwenye ako na extra wife au side chick naomba msaada, dah usiku unakua mrefu sana, njoo DM
Matajiri mnajuana aiseeJamaa yangu rafiki yangu tajiri mwezangu unachokitafuta utakipata![]()
Me mwenyewe sijui kwanini inaonekana ya kiumeMbona una mguu wa kiume darlin
Pole sana mkuuHuyo jamaa kanichosha mwee yaani laki 2 duh, afu mi jobless wa kimataifa tu
NaamIle walioenda hotel Zanzibar??