Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,421
- 96,778
Naelewa Sana, sema imenibidi niulize baada ya kupata accident similar to yaoMkuu kama umeelewa somo la upekee wa mtu huwezi pata shida na hili jambo naona una umiza kichwa sana hapo kila siku swali hilo hilo people are unique