03:1003:05
Mkesha ganiLeo huku kuna mkesha kwa mchunhaji. Mbu hao sasaa dah
03:33 bora hata ningekuwa kwenye huo mkesha wa mchungaji aisee03:10
Twende kazi 04:50Bado tupogo
04:58Twende kazi 04:50
Fanya mamboHakuna cha DM sema uko wapi nikuunge😆
Mrembo kitambo sana, uko poa?done
niko poa, sjui ww?? unavyoniita mrembo utasema n mrembo kweli nna sura ya baba mkuu, sura ngumu, sura ya kaziMrembo kitambo sana, uko poa?
Nisiseme sana nisiwaamshe waliolalaniko poa, sjui ww?? unavyoniita mrembo utasema n mrembo kweli nna sura ya baba mkuu, sura ngumu, sura ya kazi
😂😂😂😂😂😂 mie simo wakiamkaNisiseme sana nisiwaamshe waliolala
Nimecheka Sana, Sasa huyo mtu anakuwa wa namna gani??, Si jini hiloniko poa, sjui ww?? unavyoniita mrembo utasema n mrembo kweli nna sura ya baba mkuu, sura ngumu, sura ya kazi
ndio mimi huyo sasaNimecheka Sana, Sasa huyo mtu anakuwa wa namna gani??, Si jini hilo