Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
2150
Kwahio sasaiv ni usiku wa manane that why watu wana hama kijiwe
2150
Hizi avatar za uongo zinawachanganya wengi 😹😹😹niko poa, sjui ww?? unavyoniita mrembo utasema n mrembo kweli nna sura ya baba mkuu, sura ngumu, sura ya kazi
Hili bus la Aboud toka Dar- Iringa ni la kifara sana. Limenifanya niingie home saa Saba hii usiku Mbeya pumbaff Aboud Bus Service, kiufupi sipandi mabus yao tena
Mbeya imetanuka sana mkuu, mji umeanza kuwa wa kisasa na baadhi ya maeneo ni kama Mbezi beach au kinyerezi ya sasa.Hivi mbeya ya sasa ipoje
Don't call me back