JamiiForums Usiku wa manane
Pole sana , sijui kinauma kwa namna gani lakini kuna tiba unaweza kutumia japo ngumu ila inasaidia kwa kiasi kikubwa .

Unaweza ukatumia chumvi badala ya dawa ya meno, kwa siku walao 5 litapona kabisa, wewe utakua unaweza dicrophenac kutuliza maumivu tu.
Au kinga mkojo wako asubuhi sana kabla ya kuswaki, weka kwenye kinywa kama maji , zingusha huo mkojo kwenye mdomo kwa uelekeo wa jino linalouma, kwa muda wa dakika moja, kisha kaswaki na chumvi, meza dicrophenac, siku mbili umepona kabisa .
Asant ila bora nikaling'oe
 
Nakumbuka kipindi nasoma Kuna moment ilifika wajuba tukaona sasa tutafeli tusipo zingatia msuli.

Tuka anzisha Challenge iitwayo (MTOBOZI) Na atakae shinda Kuna dau nono atapatiwa ni hii dau tuliiita (Top layer).

Challenge hii inahusisha kukeaha ukisoma ndani ya sikumbili mfulukuzi bila kulala na uhakikishe unatoboa asubuhi. Yaan ndio maana halisi ya MTOBOZI.

NA ukishinda sasa unapata Ofa ya kupata top layer.

Kwa kipindi hcho hii top layer ilkua dili sana.
Kwangu nlishinda kila mara mana kukesha Kwangu ni maamuz tu. Ko top layer niliifaidi sana.

Je top layer ni nini??
Lilefuta la maharagwe la juu
 
Hakika usiku wa kuamkia leo nimekua mlinzi sababu ya jino
Pole sana maumivu ya jino acha kabisa. Kuna mtu jana kalalamika anaumwa jino eti hadi sikio linauma baada ya dk 2 akalala usingizi na kukuroma juu.

Ikabidi nimwamshe nimuulize ni kweli unaumwa jino wewe au unacheza, eti uumwe jino halafu upate usingizi dk 2 tuu unakoroma.
Mimi niliumwa jino mpaka nikaingia chini ya kibanda nusura niking'oe. Nenda kalitoe tuu mkuu.
 
Usiku bwana! Dada ake katangulia kulala yeye anafuata charge ya simu, si msiba huu
JamiiForums1035648749.jpg
 
Back
Top Bottom