JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Cha maharage au nyama mkuu
Karbu upatie mkuu.
Top layer ni Ile layer ya juu hasa ukishaunga maharage ukayaacha Kwa mda flan hua Kuna layer flan hv inajitengeneza juu pale 😛😛 inakua kama Coat flan hivi , ooh nadhani umeelew.

Sasa Ile layer ikiwa kwenye sufuria kubwa la watu kama mia2 hv hua inakua kubwa na nzito ilojaa ungaunga na mafuta hv na hii ilikua deal Sana kuipata bila top layer Yale maharage ya chini yaan bottom hua ni maji hovyo ko had uwe na peanut mkuu .

Kwangu niliipata sana Toplayer ko mlo wngu at least ulkua delicious 🤣🤣
 
Usiku ni muda mzuri sana wa kunywa maji, unapo kunjwa maji usiku unapata faida nyingi, moja wapo utajua na nguvu wakati asubuhi, utaongeza kile kiwango kinacho shauriwa na wataamua kwamba kwa siku walao kunywa maji lita tatu, pia unapokunywa maji usiku huwa yana ladha fulani ya utamu hivyo unaweza kunywa kiasi kikubwa, pia wakati wa usiku kuna utulivu fulani kwenye mwili hivyo viungo vya mwili vinafanya kazi kwa ufasaha, maji husaidia kusafisha n kuondoa sumu mbali mbali kwenye mwili kwa kupitia haja ndogo.
 
Karbu upatie mkuu.
Top layer ni Ile layer ya juu hasa ukishaunga maharage ukayaacha Kwa mda flan hua Kuna layer flan hv inajitengeneza juu pale 😛😛 inakua kama Coat flan hivi , ooh nadhani umeelew.

Sasa Ile layer ikiwa kwenye sufuria kubwa la watu kama mia2 hv hua inakua kubwa na nzito ilojaa ungaunga na mafuta hv na hii ilikua deal Sana kuipata bila top layer Yale maharage ya chini yaan bottom hua ni maji hovyo ko had uwe na peanut mkuu .

Kwangu niliipata sana Toplayer ko mlo wngu at least ulkua delicious 🤣🤣
I think ulipata virutubisho vyote.
 
Karbu upatie mkuu.
Top layer ni Ile layer ya juu hasa ukishaunga maharage ukayaacha Kwa mda flan hua Kuna layer flan hv inajitengeneza juu pale [emoji14][emoji14] inakua kama Coat flan hivi , ooh nadhani umeelew.

Sasa Ile layer ikiwa kwenye sufuria kubwa la watu kama mia2 hv hua inakua kubwa na nzito ilojaa ungaunga na mafuta hv na hii ilikua deal Sana kuipata bila top layer Yale maharage ya chini yaan bottom hua ni maji hovyo ko had uwe na peanut mkuu .

Kwangu niliipata sana Toplayer ko mlo wngu at least ulkua delicious [emoji1787][emoji1787]

[emoji16][emoji16]Top layer a.k.a Top chonjo. Ilikuwa deal sana boarding school
 
Back
Top Bottom