JamiiForums Usiku wa manane
IMG_20230122_175224_104.jpg

Wakat Niko jobless nkaenda Geita mjomba Ang ambae ni rika1.
Yy ni driver wa Canter campuni la Qomatsu GGM.

Nikapata deal kutoka Kwa washkaji kitaa baada ya kukaa bila kaz kama 2 week.
Deal lenyewe ni kuiba mawe yanayodaiwa Yana dhahabu huko migodi midogomdg.
Bas nkaaga Kwa mjmba naenda sehm naweza lala huko.
Safari ikaanza jion had tunafika Kiiza kikawa kimeshatanda.
Mmoja wetu alkua mzoefu.
Tukaanza kuchanja njiia chakakwachaka had kukarbia migodi Ile.

Mov inaanza ulinz nimkali sana na walinzi ni walinzi haswa SI Hawa walinziuchwara(skuli security)
Hofu ikatanda Kwangu kwakua ilkua Umafia wangu wa kwanza.
Wakt tunasogelea Ile eneo kumbe Lina kifance flan hv uchwara.
Bas tulijibanza eneo tulivu kuangalia walinzi Ili tuhakikishe wamelala nasi tujichukilie Malizetu. Kwan jamaa anajua sehm yalipo na ashawah fanya KAZI hapo so anajua hua ikfka sa6 waliza hulala(wakat mwingine huenda kula Mbususu 🤣) na kuziacha Mali kweupe.
Bas ikafika sa7 hv mida kama hii walinzi wakaondoka lindoni na kutuachia gapu la kujiachia Kaa tumechimba cc.

Bas kiongozi wa msafara akaamuru tumfate na tuingie Kwa kukrool taratiiib.
Tulifanikiwa kuingia Hadi kukarbia sehem ambapo Mali hutunzwa ni kikontena flan hv kimepesuka Kwa pembeni hvo angeweze ingia mmoja na kutugea mzgo kila mmoja atoke na mzgo wenye Mali.

Bas kiongozi akaomba atangulie af sisi tutafuata baada ya yy kutuita .

Tulikaa sana kama dakika 20 hv hatumuoni jombii mara gafla Katoka amebebwa mzobemzobe huku akiwa amelowa Jasho na damu alisontesha kidole chake mahala tulipojichimbia kambi kusubir amri yake.

Kila mmoja hapa aliruka Kwa mtindo wake almradi tu aokoe maisha yake la sivyo tunageuka Kafara ya Machimbo.

Hapa ndio nligundua Hata Usain bolt hafikii kipaji changu.😂.

Nlikimbia pasipo julikana Hadi pale nlipochoka nkaona sasa nijibanze,

Nahio ikawa ponapona yangu.

Baada ya siku kumbe na wenzangu walifanikiwa.
Tukamuacha jamaa ytu afie huko.
Mungu mkubwa akarudi akiwa kagalagazwa kwani kilichomuokoa baadhi walimtambua na kumuonea huruma.
 
Oceans are apart day after day
And I slowly go insane

I hear your voice on the line
But it doesn't stop the pain

If I see you next to never
How can we say forever..

Wherever you go
Whatever you do
I will be right here waiting for you
Wherever it takes
Or how my heart break
I will be right here waiting for you
hizo nyimbo za masikitiko vipi tena
 
Back
Top Bottom