Kwa hiyo hoja ni siasa sio?Hatuzungumzii ujambazi wa kawaida bali political assassin
Mungu kaonyesha ukuu wake 30 bullets alive one corona virus deadKulamba mchanga mbona ni nature ya kila kiumbe bro!
Kuna mwema yoyote ana uhakika hatalamba mchanga labda?
Kashaoza mjomba yakoKwa hiyo hoja ni siasa sio?
🤣🤣🤣🤣[emoji16][emoji16]Top layer a.k.a Top chonjo. Ilikuwa deal sana boarding school
Bwana tangu majuzi nilikua naumwa nimekaa sawa kuanzia Jana kutokana na homa najikuta Sina usingizi napata kaubaridi flani huku sauti ya mbu nikiisikilizia nje ya netNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Tupo huku mkuu😂😂From bambalaga 04:20
AmenJaman... Muda wa morning groly😂😂