Kwann huweki silent simu usiku mkuuKuna mwamba kanipigia simu na kunitolea maneno makali ati namtokea kila usiku na nnamchawia....yaani kanikata mood yote na usingizi umepaaa kabisa..,
Tangu nianze kusoma hii thread mapaka ayachoki nyumban kwangu yanalia kamayanalazimishanaunyumbaa
Djaman atulaliii atulaliii bora usilale kwa ndoa hii ...ngoja nasikia yameanza....
yakianza ita shemeji anatoa bomu za machzi feni ac haifanyi kazi kama nussaanzima lazma ufunge pua kidogoo hainahata sauti kmyakmyaa chumba kinajaq hewa yetu ghafla
Ukimuuliza punguza anakulixa nn dooh...maombi pls
Maisha haya bas tu
Huenda wachawi wanatumia sura yako kuwangia au mwenyewe mchawi ila hujijui unahitaji kufunguliwa.Kuna mwamba kanipigia simu na kunitolea maneno makali ati namtokea kila usiku na nnamchawia....yaani kanikata mood yote na usingizi umepaaa kabisa..,
Siamini kama ninakeshaYamefany nni mkuu
Hii nayo kaliKuna mwamba kanipigia simu na kunitolea maneno makali ati namtokea kila usiku na nnamchawia....yaani kanikata mood yote na usingizi umepaaa kabisa..,