JamiiForums Usiku wa manane
Nawaza Sana pesa kuliko mademu, aisee kwanza hapa nasikiliza Upendo radio naona wanapiga gospel laini sana.

Wakurungwa wanakwambia, tafuta pesa kwenza😆😆😆
 
Nawaza Sana pesa kuliko mademu, aisee kwanza hapa nasikiliza Upendo radio naona wanapiga gospel laini sana.

Sasa mamanz wa nn wakati unae...wawaze wanaotafuta.Yaan hapo tafuta mkwanja huku Mungu kwanza
 
I'm following my dreams not my addictions

Yes I can Mungu nitie nguvu 🤠🤑

Lazima uwe na malengo yanayokutisha na kukufurahisha hapohapo hatakama nisipofikia hapo ntareach in millions of dollars 💰🤗
Everybody dreams of good things in his/her life. Mungu akutie nguvu ufanikiwe katika malengo yako kijana
 
Back
Top Bottom