Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,299
- 9,797
Usiku
DuuuuuuMtajua wenyewe
Kweli, muda wa mazoezi tuimarishe bodyFresh kabisa, kumekucha now mishe zinatuhitaji.
huko utafika umechoka sanaNdio niko Congo on foot![]()
Nakuelewaga sana, wap sasa tukaimarishe mwili pamojaKweli, muda wa mazoezi tuimarishe body
Kila mtu afanye kivyakeNakuelewaga sana, wap sasa tukaimarishe mwili pamoja
Yani hujakosea, wanasema ukiona unakosa usingizi usiku basi ni Mungu anataka kuongea na wewe kwahiyo ni vyema kufanya ibadaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Kwani wewe nyoka????12:14am tue march 😊, sku mpyaaaa mimi mpyaaa. Kila sku nakuwaga mpyaaaa
Kwani wewe nyoka????
YoteMmelala au Mmelaliana???
TumelalianaMmelala au Mmelaliana???
Hallelujah
Amen
Unakipeleka wapi?Zamu yangu kupokea kijiti leo