JamiiForums Usiku wa manane
Dah ..... 0315hrs....Bongo wanga wamebaki na robo saa tu za kuwanga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭
 
Usingizi sio shida, Shida unalala na nani na ana tabia gani?, na unalalia godoro gani, na unaishi nyumbani! Nyumba ya kupanga au kwako? Una madeni kiasi kwamba mshaara unabaki laki mbili? Je umempa mimba beki 3 kakataa kutoa? Na Je kuna mwanafunzi kakwambia haoni siku zake? Na je Ulipita bila kinga na unasikia kuumwaumwa? Ni hayo tu USINGIZI UNAMAPITO SANA ndio maana huwa unakwama
 
Back
Top Bottom