Whackiest
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 1,173
- 1,463
Yani nafumba macho kabisa nilale ila usingizi haujii sijui nimelogwaa....najua kesho wengine kazii ila kama na wewe hudamki kama mimi na unasubiri "mishe flani" kama mimi na huna usingizi njoo basi tukeshee hadi usngizi ukuje
Mkuu wp hiyo tukeshe wote