Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,752
- 830,880
Nn wee babu tena?
Yupo mbona kuna siku nilimleta ilikuwa January ya mwaka huu.Heri ya mwaka mpya aisehhhhhh upo, Goddess ulimpegleka wapi
Unapeperusha bendera vizuri mzee.Hapana mkuu viongozi wapo wa humu![]()
Yupo vizuri kwa kweli.Anatoboa huyo hatari
1:07Yupo vizuri kwa kweli.
Aisee kumbe upo...kitambo sanaSio kweli watu hawalindi siku hizi, wanajifanya wako busy na uchumi wa kati.
Habari za usiku KWA majira ya Dar.Napita pita kwa kuangali lindo
Ufukara na umasikini huo mkuu.03:55 nimeota ndoto nimelala nje upepo mkali na vumbi linantimkia nimeshtuka sana hii ina tafsiri gani wakuu?
Ufukara na umasikini huo mkuu.
Pole sana ndugu yetu.Hi
Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana lindo wenzangu tulioshirikiana nao vizuri katika kipindi kifupi nilichopitia..kuanzia kumuuguza Mama mpaka tarehe 16 mwezi huu alipoiaga dunia.
Ahsanteni kwa maombi yenu..Mungu awabariki na kuwazidishia.
Mama ameumaliza mwendo salama.
🙏🙏