Pole my dear,sote njia yetu apumzike kwa amani.Ahsanteni sana wapendwa.
0323
Lindo liko shwari kabisa
Ni saa ngapi huko ambako corona et haipo!
Nireteeni gwajima
Hakika lipo salama nakuachia mikoba mkuu
Mi mzima darling! UmeadimikaHellow honey nipo.
U mzima wa afya wewe?
Mi mzima darling! Umeadimika
Lindo limekwisha mkuu.
Mda wa ibada sasa...
Kwa wale wa kanisa