JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hi

Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana lindo wenzangu tulioshirikiana nao vizuri katika kipindi kifupi nilichopitia..kuanzia kumuuguza Mama mpaka tarehe 16 mwezi huu alipoiaga dunia.

Ahsanteni kwa maombi yenu..Mungu awabariki na kuwazidishia.

Mama ameumaliza mwendo salama.

🙏🙏
Pole sana sana
 
Poleni sana dear! Apumzike kwa amani Mama!😪😪
 
Hi

Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana lindo wenzangu tulioshirikiana nao vizuri katika kipindi kifupi nilichopitia..kuanzia kumuuguza Mama mpaka tarehe 16 mwezi huu alipoiaga dunia.

Ahsanteni kwa maombi yenu..Mungu awabariki na kuwazidishia.

Mama ameumaliza mwendo salama.

[emoji120][emoji120]
Pole sana mkuu,bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom