The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Usitusindikize kwa pembeni mkuu,njoo tupige story hapa kijiweni......
Au na wewe ni mhanga wa mvua?![]()
![]()
Jana nasikia haujalala kuhofia maji kuingia ndani
Usitusindikize kwa pembeni mkuu,njoo tupige story hapa kijiweni......
Au na wewe ni mhanga wa mvua?![]()
![]()
Bwana wee ...nilikesha bure,mwisho wa siku yaliingia ndani godoro hapa lipo nyang'a nyang'a naomba tukeshe wote siku hizi mbili hadi kijigodoro changu kitakapo kaukaJana nasikia haujalala kuhofia maji kuingia ndani

Nisamehe rafiki yangu ujue shemeji yangu kama vile aliniruhusu indirect wayJirani wa watu,wewe na shemeji yako mliniacha kwenye mataa![]()
![]()





nikaona nisimuangusheNisamehe rafiki yangu ujue shemeji yangu kama vile aliniruhusu indirect waynikaona nisimuangushe
haya bwana....ntu na shemejieWewe kiboko umejua kunichekesha leo, nikaona isiwe tabu nitakubamba tuu kipande hikiLeo nipo free sana, tungekesha wote but siko vizuri Malaria inanisumbua, hata hivyo nitawasupport hadi mida mida
Then we mbaya![]()
![]()
![]()
![]()
matikiti umeona kule umeyaleta hapa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
But nilichogundua watu wengi hawaamini yaliyowakuta wenzao, nimeongea ukweli mtupu lakini bado watu hawaamini, OkWewe kiboko umejua kunichekesha leo, nikaona isiwe tabu nitakubamba tuu kipande hiki
Then unajua napenda kukufahamu sana wewe, kama hutojali lakiniWewe kiboko umejua kunichekesha leo, nikaona isiwe tabu nitakubamba tuu kipande hiki
Bwana wee ...nilikesha bure,mwisho wa siku yaliingia ndani godoro hapa lipo nyang'a nyang'a naomba tukeshe wote siku hizi mbili hadi kijigodoro changu kitakapo kauka![]()
![]()
![]()
Nilidhani hali ya hewa ya leo wengi wenu mtakuwa kwenye mikumbato style![]()
Dah! Pole sana, hatukeshi wote ila tunakua macho huku tunawasiliana kwa simu. Kukesha wote itakua ntihani yakheeeee! Kwani bado unamuogopa bawa?
Basi sawa ngoja vidole vyetu vizungumze huku macho yakishuhudia;pole kwa midomo na masikio maana havina nafasi hapa.

Mie nilikuwa nacheka unavyopangua maswali ya wadau polite and clear ahahahaaaaaa, hata hivyo mie huwa niponipo tuu chochote nikisikiacho huwa nachukulia kama story tuu nikiweza nacheka nikiweza nasikitika huwa sitakagi kujua kama ni uongo au ukweliBut nilichogundua watu wengi hawaamini yaliyowakuta wenzao, nimeongea ukweli mtupu lakini bado watu hawaamini, Ok

Ok, lakini hujanijibu swali langu, au nije PMMie nilikuwa nacheka unavyopangua maswali ya wadau polite and clear ahahahaaaaaa, hata hivyo mie huwa niponipo tuu chochote nikisikiacho huwa nachukulia kama story tuu nikiweza nacheka nikiweza nasikitika huwa sitakagi kujua kama ni uongo au ukweli![]()
![]()
![]()
Basi sawa ngoja vidole vyetu vizungumze huku macho yakishuhudia;pole kwa midomo na masikio maana havina nafasi hapa.
Mond keshasema bawa ni zilipendwa kwahiyo siogopi tena,Nleterewa Nganengo alinitisha bure![]()
![]()
![]()
Achana na hizo habari za kufahamiana,Then unajua napenda kukufahamu sana wewe, kama hutojali lakini
Ok, haina shida.Achana na hizo habari za kufahamiana,
Yeah! Mvua imekata japo imetuachia mabwawa yaliyojaa vyura, naona wanamashindano ya kupiga kelele hapaNaamini leo hakuna hofu ya mvua tena