Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Kuna tatizo ganiMh mh mh.
![]()
![]()
![]()
![]()

Kuna tatizo ganiMh mh mh.
![]()
![]()
![]()
![]()

HakunaKuna tatizo gani![]()
Kutesa kwa zamuKhaaa nawee upo aisee kumbe kawaida tu.
Wenye kumbato waendelee tu keaho tunaamka sawa.
Ohooo nilisahau huu msemo umenipa farajaKutesa kwa zamu
Ahahahaaaaaa alafu wote watata hakuna mwenye nafuu![]()
![]()
Kama nawaona siku watakayorudi hapa watakavyorukaruka kama bisi
Mie mwenyewe mgeni njia hiyoNi mimi nalisikia sikia ila bado sijamjua Mama chanja hem nisaidie kujua
MuangalieHakuna
Basi tsubili pamoja labda ule usemi uta aplay hapaMie mwenyewe mgeni njia hiyo
Jibu la swali lako analo Maserati..Na mimi nalisikia sikia ila bado sijamjua Mama chanja hem nisaidie kujua

Simuangalii mana hali hii inatabia mbayaMuangalie
Acha, wakija tutawauliza tu ili tuwachore maana majibu tunayo tayariAhahahaaaaaa alafu wote watata hakuna mwenye nafuu

Vizuri waeza endelea sasa kuandaa kilalioKabisa
Vizuri waeza endelea sasa kuandaa kilalio
mbona kama mwapeana sign kijanja za kunitoroka?