JamiiForums Usiku wa manane
Hii mvua ipige kwa nguvu zote na upepo mkali, shughuli zisimame kwanza mpaka weekend ipite...

Cc: mahondaw
 
Ushauli huu ni wako lakini wansemea kwa lipi tena?

Hivi awepo Mama chanja na kibaridi hiki hapa nakwepoje sasa?
Kweli nimeamini hakuna mama chanja maana kwa baridi hii hata mkikoseana mnasameheana haraka kabla ya muda wa kulala
 
Back
Top Bottom