Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
Huku gomz yaani ni kelele za vyura usiku kucha utafikiri vyura wapo kwenye kigodoroYeah! Mvua imekata japo imetuachia mabwawa yaliyojaa vyura, naona wanamashindano ya kupiga kelele hapa

Huku gomz yaani ni kelele za vyura usiku kucha utafikiri vyura wapo kwenye kigodoroYeah! Mvua imekata japo imetuachia mabwawa yaliyojaa vyura, naona wanamashindano ya kupiga kelele hapa

Achana na hizo habari za kufahamiana,
Ahahahaaaaaa hamna cha pm wala nini, ni mwendo wa public tuu
Hii kauli inaanza kupotea mitaani.Ulipooooo, tupoooo!

Wanataka kutunyima uhondo haoHapo sawa, mkishajifungia huko PM mnatunyanyapaa

Yeah! Mvua imekata japo imetuachia mabwawa yaliyojaa vyura, naona wanamashindano ya kupiga kelele hapa
Wanataka kutunyima uhondo hao![]()
![]()
Hii kauli inaanza kupotea mitaani.
Kweli siku zinakimbia mno![]()
![]()
Huku gomz yaani ni kelele za vyura usiku kucha utafikiri vyura wapo kwenye kigodoro![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yaani ni shida! Nimekaa nikafikiria hivi wahenga walivyosema kelele za chura hazimkatazi tembo kunywa maji walitafakari sawasawa kweli? Mbona mimi zinaninyima usingizi

Mwalimu wako nadhani kakumbwa na mafurikoHii kauli inaanza kupotea mitaani.
Kweli siku zinakimbia mno![]()
![]()
Aku! usije ukaniteka bure......mtu mwenyewe hujulikaniAu nasie twende PM? Hahahahaaa

Subiria kibali cha mikutano kitolewe utasikia kauli mpya hadi ushangae

Aku! usije ukaniteka bure......mtu mwenyewe hujulikani![]()
![]()
Niko lindoni