Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,584
- 53,337
Vaa barakoa, huko ugenini watu wanakufa kama kuku, tofauti na TZ, chukua tahadhariKuomba Mungu ni jambo la muhimu sana wakati wote hasa zaidi kipindi hili cha COVID-19. Kusafiri kumekuwa na changamoto kubwa sana. Naamini Mungu yu pamoja nami na atatunifikisha salama