Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
0341
Pole mkuu naona usingizi umekunyanyapaa.0334
Wakuu mpondyo, kwan vbaya
Nipo Moro, joto ni kali hatari nautafuta usingizi kwa manati ya kipepe lakini hola naambulia kusweat tu, ningekuwa na mke ningekuwa nimeshasababisha viwili sahizi, uchengu huu nao shida tupu.Wazee wa lindo mpoooooo
00440039
Na jili joto mkuu kweli ungepata viwili[emoji1787][emoji1787],pole na joto tukesho hapa sasa mpaka usingiz ukubaliNipo Moro, joto ni kali hatari nautafuta usingizi kwa manati ya kipepe lakini hola naambulia kusweat tu, ningekuwa na mke ningekuwa nimeshasababisha viwili sahizi, uchengu huu nao shida tupu.
So unafanya nini?Na jili joto mkuu kweli ungepata viwili[emoji1787][emoji1787],pole na joto tukesho hapa sasa mpaka usingiz ukubali
Nocturnal fellas, we here 🖐️🖐️🖐️🖐️Habari wakeshaji
Nimeingia jioni hii toka mbeya,yaani hili joto la dsm hatari.....yaani week 2 tu nimekaa huko ila daaah hatari hili jotoNa jili joto mkuu kweli ungepata viwili[emoji1787][emoji1787],pole na joto tukesho hapa sasa mpaka usingiz ukubali
Huku Moro ndio shoo shoo, chumba utasema ni oven au hell, mamaee!Nimeingia jioni hii toka mbeya,yaani hili joto la dsm hatari.....yaani week 2 tu nimekaa huko ila daaah hatari hili joto
Acha tu watu tunatembea tunachemka,hata feni inagoma inalete joto piaNimeingia jioni hii toka mbeya,yaani hili joto la dsm hatari.....yaani week 2 tu nimekaa huko ila daaah hatari hili joto
Daah hatari sana.......bora mvua inyeshe tuHuku Moro ndio shoo shoo, chumba utasema ni oven au hell, mamaee!
Tulia tu,joto hilo unapigaje goli[emoji1787][emoji1787]So unafanya nini?
Jana tu nilikuwa ndani ya blanket ila hapa nashindwa kulala jotoAcha tu watu tunatembea tunachemka,hata feni inagoma inalete joto pia
😂😂Tulia tu,joto hilo unapigaje goli[emoji1787][emoji1787]