Nenda kwa Edo ukale chipsDah nasikia njaaaaa
Kuomba nini?Hiv muda mzur wa kuomba ni sangap?
Saa 0340. Jaribu uome maajabu.Hiv muda mzur wa kuomba ni sangap?
Tupo imara kama simba0203 Lindo lipo salama.
Maafande wamesinzia.
Rafiki kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Da Ashura huenda akakutembelea usiku huu!0023
Mida ya lindo
Rafiki kuna pombe hapo pembeni nije?Dah nasikia njaaaaa
Ujana maji ya moto!Live from Mbali na home
Kichwa Kichafu Leo maajabu umelala mida hii.
huyu mwamba atakuwa kapitiwa leo.