Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,684
Pole sana bro. Piga nyagi hapo ulipo nitalipa
Nimelala mzee nimekunywa maziwa nitoe sumu iliyopo mwilini 




Pole sana bro. Piga nyagi hapo ulipo nitalipa
Nimelala mzee nimekunywa maziwa nitoe sumu iliyopo mwilini 




Huyu mtu Super Villain umemuona wapi,Pole sana bro. Piga nyagi hapo ulipo nitalipa
Kama unakusudia ule upande wa pili soon watakuja bro
Walinzi wote nilikusudia, tupige hata hadithiSolo upo vizuri sana ume maintain sana mahudhurio yako, hujawahi kosa lindoniTuko pamoja
Wewe na mpira wapi na wapiEti wametupangia kucheza na A. Madrid UCL. Badala uisikitikie team yako imepewa team ngumu we unaisikitia Arsenal? Unachekesha
Huyu Super Villain na mweIe simiss wametepeta sana now days. Ila nadhani kuna pisi kali zinawakip busy.Huyu mtu Super Villain umemuona wapi,
Hivi matunda yanatoa msongo wa mawazo nilikula mchana ila naona bado mawazo yapo pale paleEti wametupangia kucheza na A. Madrid UCL. Badala uisikitikie team yako imepewa team ngumu we unaisikitia Arsenal? Unachekesha
Pole sana bro, Mungu kujaalie afya njema mzee![]()
![]()
Nimelala mzee nimekunywa maziwa nitoe sumu iliyopo mwilini
![]()
Naona posho zimechelewa ndiyo maana wamegomea kurudi tena na tenaHuyu Super Villain na mweIe simiss wametepeta sana now days. Ila nadhani kuna pisi kali zinawakip busy.
Teh teh! Nina mahaba nao we acha tuWewe na mpira wapi na wapi
Inawezekana bro. Lakini hizi kazi za ujenzi wa Taifa zinahitaji zaidi moyo kuliko maslahi. Mbona sisi tupo hapa muda huu.Naona posho zimechelewa ndiyo maana wamegomea kurudi tena na tena
Ahsante sana chief, vipi safarini usiache kuomba Mungu akupe afya ba usalama, ufike uendako pasipo mushkeli,Pole sana bro, Mungu kujaalie afya njema mzee
Kweli bro ingesaidia kubuy time![]()
![]()
Walinzi wote nilikusudia, tupige hata hadithi
Itabidi nijifunze toka kwako, mimi napenda mpira ila sio ule wa mahaba ya kutoka home kwenda kuangalia na mashabiki wengine bar,Teh teh! Nina mahaba nao we acha tu
Fruits zimekaa mkao, matunda sina uhakika. Kubaliana na hali unayoipitia, usiifikirie sana hata kama inaumiza kupita maelezo. Pretend like nothing happened then time will heal yo!Hivi matunda yanatoa msongo wa mawazo nilikula mchana ila naona bado mawazo yapo pale pale View attachment 1650346
Movies una download site gani nataka kushushaKweli bro ingesaidia kubuy time
Kuomba Mungu ni jambo la muhimu sana wakati wote hasa zaidi kipindi hili cha COVID-19. Kusafiri kumekuwa na changamoto kubwa sana. Naamini Mungu yu pamoja nami na atatunifikisha salamaAhsante sana chief, vipi safarini usiache kuomba Mungu akupe afya ba usalama, ufike uendako pasipo mushkeli,
Kuna TV flani ya series sema laptop nimeifunga. Ninaomba nikifika nikujulishe bro. After 2hrs ntakuwa nimefika.Movies una download site gani nataka kushusha
Mimi jambo likinitokea moyo huwa unauma we acha tu, lakini nashukuru nimeanza kupata reliefFruits zimekaa mkao, matunda sina uhakika. Kubaliana na hali unayoipitia, usiifikirie sana hata kama inaumiza kupita maelezo. Pretend like nothing happened then time will heal yo!
, muda sio mrefu nitaamka kwa amaniKuna games na games zinazonipeleka cool bar, nyingine nafatilia tu live score. Bar nazoingia isiwe na makelele sanaa na pia isiwe na watu wengi.Itabidi nijifunze toka kwako, mimi napenda mpira ila sio ule wa mahaba ya kutoka home kwenda kuangalia na mashabiki wengine bar,