Siku zinakimbia kinoma
Mko poa humu ndani?
😁😁Nani mwingine leo yupo lindo nimsalimie
Nafurahi kusikia hivyo broKama mshale boss
Unakenua meno hujambo
Pole sana bro. Piga nyagi hapo ulipo nitalipaYani mtu kukosa usingizi lazima kuwe nasababu, leo kuna mtu kanivuruga sana kichwa changu nataka kichwa changu kukifanyia overhauling
Kama unakusudia ule upande wa pili soon watakuja broNani mwingine leo yupo lindo nimsalimie
Mapema sana mrembo03:10
15.12.COVID
Sasa naenda kulala 03:10 - 05:00
Atakaewahi kuamka aniamshe tafwazali
Tuko pamojaNani mwingine leo yupo lindo nimsalimie
Eti wametupangia kucheza na A. Madrid UCL. Badala uisikitikie team yako imepewa team ngumu we unaisikitia Arsenal? UnachekeshaMe n shabiki wa Chelsea , ila hz habar za arsenal zinantia uchungu😓😓😓😓😥
Ebu mziache bhana🚶🚶🚶
Lazima kuna namna tu, hebu jievaluate vizuri broSielewi kwanini nakosa usingizi muda huu