JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wazee kinachofanya mtu uwashwe ni nn pale mbu akishakung'ata hakuna Dr humu sisi wa kwetu wa familia saiz kashalala nikimuamsha nimuulize atanitukana sana 😂😂😂
 
Yeah nimecheza sana miaka yote ya O n A level. Wadhani ningetengeneza interest juu ya huu mchezo bila kuwa mchezaji.? Nilikuwa kwenye timu ya vijana Savio pale Don Bosco Upanga

Huyu ni nani

1607358919081.png
 
Back
Top Bottom