Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Unakuwa kama mgeni vile.😅😅😅😅
Unakuwa kama mgeni vile.😅😅😅😅
Kipi ichoHv unajua nakudai we mrembo?
Ah kwa sasa nimekuwa mgeni naona maafsa wapya wapya tu.Unakuwa kama mgeni vile.
DawaKipi icho
Ndiyo uwapoke sasa.Ah kwa sasa nimekuwa mgeni naona maafsa wapya wapya tu.
Aiyaa..subiri kwanzaDawa
Aah hii itakuwa 2021 sasa 😂😂😂Aiyaa..subiri kwanza
Mwendo mdogo mdogo🤗Ndiyo uwapoke sasa.
Kalale kibarazani aise😅Tanesco wanataka nn lakini usiku wote huu wanakata umeme nalalaje sasa na hili joto 😢
Kazi kazi 😂Mwendo mdogo mdogo🤗
Aah unataka nitafunwe na mbu mzee.Kalale kibarazani aise😅
Nenda na neti.Aah unataka nitafunwe na mbu mzee.
nipo doria
12:30
Laleni mkue.
0116
Pamoja na kelele zoote za mziki bado kitanda cha jiran kinapiga kelele
Cjui nmefocus sana kusikiliZa huko...?
![]()
Kunywa maji urudi kulalaAisee stress kumbe zinakata usingizi kiasi ichi
Mkumbuke Mungu aliyekuumba wakati wa ujana wako; kabla ya mabaya zaidi hayajakupata !Aisee stress kumbe zinakata usingizi kiasi ichi