JamiiForums Usiku wa manane
Wanaopenda NBA wachache sana humu.
Wakati niko Secondary miaka ya 2000's nilikuwa mpenzi mkubwa wa Basketball especially NBA. Yaani nilikuwa nanunua mpaka CDs za NBA nashinda kuangalia nyumbani nikiwa likizo.
Ilikuwa unitajie star gani wa NBA nisimjue? Lakini sasa hivi hayo mapenzj sijui yamepotelea wapi?🙄😌
 
Ulishawahi cheza basketball?
 
Wenzangu wengi walipata scholarship nje ya nchi kupitia mchezo huu miaka yetu. Mi nilipata hiyo ruhusa alafu mzee kabana, alijua Botswana tunaenda kufundishwa Basketball tu😏
Wenzangu wako mbali sana now....
 
Yeah nimecheza sana miaka yote ya O n A level. Wadhani ningetengeneza interest juu ya huu mchezo bila kuwa mchezaji.? Nilikuwa kwenye timu ya vijana Savio pale Don Bosco Upanga
sasa kama ulicheza imekuaje leo huna vybe na kikapu ukirudishwa kwenye court shooting range yako itakuwepokweli ww?
 
Wenzangu wengi walipata scholarship nje ya nchi kupitia mchezo huu miaka yetu. Mi nilipata hiyo ruhusa alafu mzee kabana, alijua Botswana tunaenda kufundishwa Basketball tu😏
Wenzangu wako mbali sana now....
Pole sana mm napenda kucheza na kuangalia sinaplan nao yeyote hile najifurahisha tu.
 
sasa kama ulicheza imekuaje leo huna vybe na kikapu ukirudishwa kwenye court shooting range yako itakuwepokweli ww?
Ipo ila sio kama kipindi kile, nilipo kwasasa kuna basketball yard so huwa maramoja moja nikijisikia najiunga na vijana wa hapa tunapasha. Ubize kaka
 
Pole sana mm napenda kucheza na kuangalia sinaplan nao yeyote hile najifurahisha tu.
Kwa umri nilionao sasa si mzuri kucheza kwa malengo, ila kama mzee asingeizuia ile scholarship ya kwenda Botswana kipindi kile ndio niko moto, labda ndio ingekuwa career yangu kwasasa.
 
mm napenda kucheza Guard siku zote na ndionapoweza tukasiku ya kwanza nimejifunza ni position yangu hiyo hiyo muda wote.
Guard sehemu ya kurelax kiasi ingawa sijaona mchezo unaohitaji pumzi na nguvu kama basketball. Pia kwa upande wa guard inahitaji uwe na shooting range nzuri sana na forward mid range
 
Back
Top Bottom