financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Promise me nikija kwako sitojutia?? Nahamia sasa hivi😀😀ukimchoka njoo kwangu hutajuta japo, sitakuepo upande wako daima, ila the moment will count!
Promise me nikija kwako sitojutia?? Nahamia sasa hivi😀😀ukimchoka njoo kwangu hutajuta japo, sitakuepo upande wako daima, ila the moment will count!
pole sana mlokole!.. ww piga unavyoviweza kila mtu atashinda mechi zake!Mimi natumia prince,ice,gold na konyagi mara chache sana co nikipiga val naona inaniumiza koo tu.
hamia chapchap.. I wish to promise you, ila i can't because i don know your expectations but I BELIEVE HUTAJUTA...Promise me nikija kwako sitojutia?? Nahamia sasa hivi[emoji3][emoji3]
ha ha ha! ko huna shida na sura kwa vile hata mbuzi anayo..shepu la sanchi mimi halinistui napenda kishepu flani hvi yaani kitako kipo alafu kimebinuka, chuchu zipo katika uwiano sawa, na portable ili nimbinue binue vizuri.
Nzuri tuu habar ya wewe ? Huduma za kifedhaJamani, nashukuru tumequoteana leo, vipi za weekend!
Ha ha ha ha.. we jamaapole sana mlokole!.. ww piga unavyoviweza kila mtu atashinda mechi zake!
I won't [emoji23][emoji23][emoji23]Hakika nitakua mikono salama na next man[emoji8], usilale sasa.
aah huko sikugusia mkuu, maana nlibase katika factor ya shape tu.. sijagusia kuhusu sura,urefu na rangi.. sura awe mzuri na presentable, urefu kiasi(am a tall guy), mweupe au maji ya kunde hivi halafu mwenye haiba ya feminine characters (ma manzi wa chuga hua wanafeli hapa)ha ha ha! ko huna shida na sura kwa vile hata mbuzi anayo..
Yeeeeh yani mie ndio nakuja hivyooWapendwa usingizi umenifata tuondoke zetu, usiku mwema wote, it was nice chatting with youu [emoji7][emoji7]
Fanya mpango upate blanket chapa mtu boss.Huku kwetu mvua inanyesha na kabaridi kwa sana.. sasa naona umuhimu wa jiko.
From now onwards am your new babe, mkerewe ashakua Ex dah😀😀 good night Mzushi!hamia chapchap.. I wish to promise you, ila i can't because i don know your expectations but I BELIEVE HUTAJUTA...
kazi njema huko uendako.. ya kupekenyuana na mimi uko unakokwenda!Wapendwa usingizi umenifata tuondoke zetu, usiku mwema wote, it was nice chatting with youu [emoji7][emoji7]
Afanyie kazi ushauri huu hatojuta [emoji3][emoji3][emoji3]mkuu, kwenye mvua kama kuna kibaridi na uko geto ww fungulia muziki mdogo mdogo, na valeur yako safi hutakaa kuwaza jiko.
nyts too!.From now onwards am your new babe, mkerewe ashakua Ex dah[emoji3][emoji3] good night Mzushi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh unanifundisha pombe mkuu..? mimi mlokole jamani.
mi nishamwambia hivo.Afanyie kazi ushauri huu hatojuta [emoji3][emoji3][emoji3]
True thatsikufundishi mkuu, mi nimekupa technique/elimu/taarifa ni juu yako kuitumia au laa!.. ila huo ndo ukweli.
Kweli mkuu, vp lindo lako hakuna utata?Tuimalishe ulinzi
ha ha ha! Usijali mkuu..muombe mungu ajibu pm yako..na usisahau kuleta ushuhuda..sijagusia kuhusu sura rangi.. sura awe mzuri na presentable