JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

ha ha ha! Usijali mkuu..muombe mungu ajibu pm yako..na usisahau kuleta ushuhuda..
hahhaaaa!! sasa mkuu mimi nina subira ntasubiria tu kwanza mpaka ntakapoona inatosha japo kuna watakoenda kula na chumvi, mimi sijali, ntajali ikifika zamu yangu.. ile kitu haina makombo.
 
Back
Top Bottom