Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,974
- 8,116
Kindo la leo mbu wengi.... mlinzi mimi kaka njeree kama wanavyoniita, usingizi sipati
Walinzi wamesha pambania lindo naona wanakaribia kulisusa mkuu
kwema humu?
KabisaaaahDay shifter![]()
Toa location mkuu.Mpaka time hii nko peke yangu humu
Naona watu wapp batani🚶🚶🚶
Salama mkuu, vipi huko?Hamjambo hapa,long time
Kwema kabisa.......bila shaka uko poa pia mkuuSalama mkuu, vipi huko?
Salama sana kaka siku zimekuwa ndefu sana.Kwema kabisa.......bila shaka uko poa pia mkuu
Nikweli,ila tutafika tuSalama sana kaka siku zimekuwa ndefu sana.
Uelekeo upo.Nikweli,ila tutafika tu
Tutapambana ivyo ivyo,kuhakikisha tunakaribia au kuishi kwenye ndoto zetu......changamoto haziepukikiUelekeo upo.