Asante kwa kutusabahi! Kwanini hulindi leo?Nimekuja kuwasalimia leo silindi lindo
Shemela njoo huku tunywe gah'wa!Karibu kama kawaida mida yenyewe.
Si angalau nimekukuta, niliona hakuna walinzi kabisa
Nimekuja kuwasalimia leo silindi lindo
Mzee upo, unajitahidi sana kulinda0149
07.11.2020
Kweli aisee siku hizi walinzi wamesahau kabisa jukumu laoSi angalau nimekukuta, niliona hakuna walinzi kabisa
Ngoja nichukue kuni tupashe mikono joto kuna ubaridi wa ajabuShukrani mkuu
Au bado wapo busy na uchaguzi
Mzee upo, unajitahidi sana kulinda
No nipo nipo si nimewakuta inatia faraja ngoja tulinde, lete story vipi uchaguzi USA naona trump anamwaga manyanga chini, ametuomba africa tumuombeeMdogo mdogo kiongozi. Leo mapema lakini
[emoji1787][emoji1787] Shem hivi kumbe maisha baada ya uchaguzi ndo tumeshayaanza eeeh?Shem baby baada ya kupotea na kutekwa umeonekana kwenye maisha baada ya uchaguzi [emoji23]
No nipo nipo si nimewakuta inatia faraja ngoja tulinde, lete story vipi uchaguzi USA naona trump anamwaga manyanga chini, ametuomba africa tumuombee
[emoji1787][emoji1787] Shem hivi kumbe maisha baada ya uchaguzi ndo tumeshayaanza eeeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli maisha yanaenda kasi sana!No nipo nipo si nimewakuta inatia faraja ngoja tulinde, lete story vipi uchaguzi USA naona trump anamwaga manyanga chini, ametuomba africa tumuombee
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli maisha yanaenda kasi sana!
Sent using Jamii Forums mobile app