mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
Dunia ya walinzi
Tupo mkuu0200
07.11.2020
Huyo bwana Nleterewa Nganengo tangu nchi iingie kwenye uchumi wa kati kanikimbia kabisa na nchi ilivyogeuka kuwa ya kijani kiwichi ndio hana habari na mimi hata kidogoHata hayaeleweki kama bado au tayari
Nlete.... Wapi Umemteka?

Hb wa kigogoHuyo bwana Nleterewa Nganengo nchi iingie kwenye uchumi wa kati kanikimbia kabisa na nchi ilivyogeuka kuwa ya kijani kiwichi ndio hana habari na mimi hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usingiz utoke wapi mkuu
Ukisikia maji ya shingo ndio hayo yalomfika huyo Trump sasaMwanzo alisema Africa kuna idiots. Leo ndio wamkumbuke kwenye maombi.
Biden ndio hivyo NSS wameongeza ulinzi.
Trump akipindua meza kibabe sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Hao wanakula bata baada ya nchi kuingia uchumi wa kati, hawana habari na ulinzi tenaHb wa kigogo
Dingi mtoto
Wapo wapi hawa

Daah hiki kilikuwa kikosi kazi way backHao wanakula bata baada ya nchi kuingia uchumi wa kati, hawana habari na ulinzi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Loooh mbona wwe unawanga kama mie
Karibuu mkuu2:08 am
Tupe khaifa mkuu karibuAsalaam aleykum humu ndani....naona kazi ya lindo bado i hai
Shukrani sana mkuu....nimepita tu kuwasabahi maana kitambo sijaingia humuTupe khaifa mkuu karibu
Walinzi wamesha pambania lindo naona wanakaribia kulisusa mkuuShukrani sana mkuu....nimepita tu kuwasabahi maana kitambo sijaingia humu
Hahaha naona mkuu....kulisimamia lindo si kazi ndogo ujueWalinzi wamesha pambania lindo naona wanakaribia kulisusa mkuu