JamiiForums Usiku wa manane
Breaking:Rais wa Marekani Donald Trump ametengua uteuzi wa Waziri wa Ulinzi wa Nchi hiyo Mark Esper na kuteua mwingine.#Kaz imeanza
 
Broo umeuwa,unafanya ibada uku unawaza kuandika Uzi j
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!

f 😂😂😂
 
A2B6A7F5-7BEF-4DA7-91B6-C49261CAE12C.png
 
Back
Top Bottom