Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Wala hata ainiumi π π π π π acha nifanye zangu ibada mm nitakunyoosha baadaye tulia tu π€ͺnimekutukana bonge la tusi ππππ
Wala hata ainiumi π π π π π acha nifanye zangu ibada mm nitakunyoosha baadaye tulia tu π€ͺnimekutukana bonge la tusi ππππ
Yani ni maeneo ambayo niliyapenda sana kuyaishi wakati wa chuo, kwa dar ni maeneo rafiki sana kuishi, shida ni usafiri wakati wa jionihahhaaaa mpaka hapo sihitaji clarification zaidi


Natanikuachie huyu mjumbe simiss aendele kudumisha ulinzi hapa.Leo umejitahidi kuweka kambi lindoni hongera sana
Asiekubali kushindwa sio mshindani umeinua mikono juuyaishe mzee usije kuanzisha league
wewe huez husumbui hii kichwa..hii league haishii hapa, tukutane chimbo la siku zoteWala hata ainiumi π π π π π acha nifanye zangu ibada mm nitakunyoosha baadaye tulia tu π€ͺ
πππ dogo wenge sana.. Ngoja nikuachie lindo maana Super Villain tutapatana tu saa yoyoteHuyu hana shida mimi sina upinzani naenyie kuna dau mmeshindana
PouwaHi Team! Mambo?
02:27 Hrs
ππππ Hapana nilikuwa nazinguaHiyo mitaa ilikua yangu sana kipindi cha chuo, hivi ndiyo mitaa yako sahivi nije kukubeba hapo
Acha kabisaππ kamoyo kalijua kukongwa jamaniπ€¦![]()
![]()
Unapenda mwenyewe
Nilijikunyata mwishowe nikapata kausingizi..Good good kama upo leo unatia kambi sio niambie umejikunyata au unakula bata
ππππ Villain hujaachaga ujinga wako ujue..hajasema kaniambia Nina lisauti libaya ila linaweza rekebishwa.Kwaya master wako hajasema hiyo sauti ni ya mtt kweli alivyosikia mara ya kwanza π π π