Uchumi wa kati halafu sukari una substitute na chumvi yani watu siku hizi hawana habari na sukari wanatumia chumvi tu, uchumi wa kati wakadanaganyane na bank ya duniaMwaka unaisha huu siunaona watu wako busy nauchumi wa kati![]()
bitter lemon ni tamu mbona na ndio soda yangu nayopenda zaidi japo ukiagiza sehemu lazma wahusianishe na pombe kaliVitu vichungu sinywi mm natamani hata dawa zingekuwa na sukari kama zile za watoto ningekuwa najiover dose.
Anajua sana kuchora mistari Young killerNakukubali sanaa haka kadogo nasikiliza nyimbo zake kimtindo
achana na huyo snitch. namuwezaTumuondoe kwenye mapkabisa
Nilisoma ndiyo hapo TIA hakuna mitaa nisiijue eneo lote hilo na vitongoji vyakenaona ulikua unasoma TIA
siumesikia anasema leo anajiona kama leo ndio mara yake yakwanza kuingia humu.Tumuondoe kwenye mapkabisa
achana na huyo snitch. namuweza
Ila huwa mna uadui wa simba na yanga nawaangaliaga tu, mmechukuliana mke wewe na Super VillainMaji na Orange tu 😊😁😁 villa umekunywa nini leo
Sasa itakuwaje 😆😆😆😆Uchumi wa kati halafu sukari una substitute na chumvi yani watu siku hizi hawana habari na sukari wanatumia chumvi tu, uchumi wa kati wakadanaganyane na bank ya dunia
Nani Yanga nani simba au nani Liverpool nani arsenal au nani man city nani man unitedsiumesikia anasema leo anajiona kama leo ndio mara yake yakwanza kuingia humu.
Soda zenye ladha ya ajabu mm sigusi kabisabitter lemon ni tamu mbona na ndio soda yangu nayopenda zaidi japo ukiagiza sehemu lazma wahusianishe na pombe kali
Ndiyo tumeshadanganywa hivyoSasa itakuwaje![]()
😊 mm snitch! sawa mkubwa.achana na huyo snitch. namuweza
Anawezaje kumchukua shemeji yake 😊😊
hahahaa sawasawa mkuu mimi nkaa kwa mpangala kma unapafaham,Nilisoma ndiyo hapo TIA hakuna mitaa nisiijue eneo lote hilo na vitongoji vyake
Umepotea mzee wangu
mm shabiki wa msimbazi simba na washika bunduki wa jiji la London.Nani Yanga nani simba au nani Liverpool nani arsenal au nani man city nani man united