JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mtu akishukuru kwa jambo flan najisikia raha sana, ni vema kushukuru .... Kajojo i love u .....
Niko makini sijachangamka bado hata muandiko uko fiti umesimama dede kama naandikia daftari ya mistari mikubwa na midogo vile...[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] Kajojo krbu sana
Asante sana
 
Pole sana Kajojo.... Tuombe... Kama pepo ushindwe kama ni wenge sepa... binti alale unono aote njozi nzr nzr.... Sema amina! Samahani waiter nilikuwa namfanyia maombi rafiki angu bia yangu niletee niendelee... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] Sina makuu na mtu!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom