JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23]
Embu acha ulabu ukalale
hapa natoka mida ivi kama saa 9 alafu geto nna ka kinywaji naenda kukapiga tena uku napata mziki mwanana sanaaa!!.. zile nyimbo kama za kina dua lipa n.k zitakua zinasikika kwnye ka sabufa kangu kadogo tu, ... ntalala saa 12 ivi
 
Haya maisha ya Ujamaa mbona yalishaisha kitambo saiv kila mtu anabeba msalaba wake [emoji38][emoji38][emoji38]
hahahaaaaa mzeee imebidi nicheke...maana mda si muda sana, kaja manzi from nowhere ananiomba nimnunulie bia nkamwambia kama huna hela ya bia nenda kalale maana sina bajeti yako hapa, kanisonya na kuondoka kwa kebehi... nko nawaza nmekosea wapi
 
Mzee hutakikutoa offer utakula mema ya nchi kweli ww! 😆 😆 😆 😆
 
this is Super Villain from Alpha Team.
I´m at point City mall. Need info on my extraction over Iceberg9
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe una vurugu hivi kupokea posho, unafanya shopping [emoji1622] ya nini leo ndugu yangu kama nakuona unaanza na sneakers [emoji148] kali hivi, aisehhh unapotea sana lindo leo tujaribu kutoboa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom