Huyu mrembo alikua ameuficha mkuu.Sijawahi kuona huu Uzi mbona??
Hukua na connection sahihi mkuu sasa umepataSijawahi kuona huu Uzi mbona??
Kwahiyo unapenda giza kuliko nuru mkuu?I love nights
Uchoyo mkuu hata jina tuijue au peak blindersHatimae nimemaliza hii series iliyokuwa inanifanya nisipate hata muda wa kuja lindoni tangia ijumaa.
I missed you guys
Upo wapi mlinzi hodari?Basi niwatakie usiku mwema kutoka kipande hiki.
Karibu mgeni, feel at homeWenyeji mpo? Mie mgeni
Karibu sanaWenyeji mpo? Mie mgeni
NakutafutaWeekend inajieleza....
Nipo sana tu, za kushinda Luca?Nakutafuta
Salama kabisa.nakukumbukaNipo sana tu, za kushinda Luca?