Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,675
PapuchiGang ndiyo nini mzeeSijakusikia muda Au saivi umestaafu PapuchiGang
PapuchiGang ndiyo nini mzeeSijakusikia muda Au saivi umestaafu PapuchiGang
Unalala sana siku hizi, unakunywa kinywaji ganiNipo, nimekuwa nalala mapema sana![]()




Nyimbo yetu ilehapana mkuuu sitaki kufanya uzembe asilani.
Atengeneza mwili nimechoka kuwa skinny 😌 😌Unalala sana siku hizi, unakunywa kinywaji gani![]()
Wanatumika na ccm sana hao achana naoVp maisha ya wcb huko![]()
Yupo sana huwa anachungulia alafu anamute mpaka umention ndio anajibu.
Utakunywa ile Pepsi Big (mkubwa wao)Aladeen04 usijali mkuu, tuseme inshallaah nitakaribia
Mambo yameshakua plentyNimeshakuwa vya kutosha kwa umri wangu nawezaitwa Dingi mambo yameshakuwa plenty.




kijana wangu nakuelewa sanahahhaaaaaa una reputation inaonekana bro hhahaaaPapuchiGang ndiyo nini mzee
Oyo mwamba.00:56
Nipo kiongozi naimarisha lindoOyo mwamba.
hahahaa kaka, samahani naiomba hii nyimbo mbona kama sinaNyimbo yetu ile
'usinihonge bia kama hujaja na mimi
ushajijua huna huku umefwata nini
mi usinipe lawama pindi nikikupiga chini'..................
Ngoja nichungulie sasa hivi.braza nmeona bobpaak kapost dude linaitwa "altered carbon"
Kuwa na kids ni mchezo sasa full responsibility sometimes tunachungulia sometimes akili inarukaNimeshakuwa vya kutosha kwa umri wangu nawezaitwa Dingi mambo yameshakuwa plenty.



Nipo kiongozi naimarisha lindoOyo mwamba.
unataka nipate kisukariUtakunywa ile Pepsi Big (mkubwa wao)
Hongera mapema sanaWeekend inajieleza....