Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Hawajakufundisha kuimba kweli maana wale ni balaa kwenye kuimba na nakunyoa Afro 😆 😆 😆 😆Leo nilisali sabato
Hawajakufundisha kuimba kweli maana wale ni balaa kwenye kuimba na nakunyoa Afro 😆 😆 😆 😆Leo nilisali sabato
Mzuka kabisa.Kwema watu wa Mungu
Sleeping Beaty - Beres HammondHivi humu hakunaga watu wa kutoa dedication song jamani..mbona naitamani
![]()

Na ww umeshakuwa mtoro teyari!Mtakao fanikiwa kwenda Ibada ....naomba mtuombe na sisi....
Wamenifundisha Ila kwa shida maana kila nikijaribu kuimba kwaya master ananiambia sauti yangu Ni 3.5Hawajakufundisha kuimba kweli maana wale ni balaa kwenye kuimba na nakunyoa Afro 😆 😆 😆 😆
sabato imeshaisha mi nko nakusubiri apa!.Leo nilisali sabato
mi sidhani kuimba ni tatzo, mi nawazia scout hahhaaaaHawajakufundisha kuimba kweli maana wale ni balaa kwenye kuimba na nakunyoa Afro![]()
![]()
![]()
![]()
Wooiiii kupendwa raha🤸🤸😂😂😜Sleeping Beaty - Beres Hammond![]()
Natubu kabla sija itenda....Unataka kutenda dhambi?
😂😂sabato imeshaisha mi nko nakusubiri apa!.
Beauty Meonaeee... Sleeping BeautyWooiiii kupendwa raha![]()
Hapana, nakusanya baraka za kutoka kwa wengine...nazihitaji sana....mwezi huu....Na ww umeshakuwa mtoro teyari!
hahhaaaaa asa uko si ndo liko geto langu japo uchochoroni, na nmesalia sabato ya kule kurasini ivi teh teh!!.
Naja nipo kwa azizi Ally dk chache nitakuwa hapo
Thank youuuiBeauty Meonaeee... Sleeping Beauty
Kwaya master ajakuambia ule mayai kweli 😆😆😆Wamenifundisha Ila kwa shida maana kila nikijaribu kuimba kwaya master ananiambia sauti yangu Ni 3.5
Nimeshapiga afro langu fresh kabisa na week ijayo tena
😂😂😂😂hahhaaaaa asa uko si ndo liko geto langu japo uchochoroni, na nmesalia sabato ya kule kurasini ivi teh teh!!.
Hajaniambia Ila kaniambia nisivunjike moyo next week atakuwa namimi Bennet Hadi nifikie sauti ya kwanzaKwaya master ajakuambia ule mayai kweli 😆😆😆
nataka kusema hvohvo! hahaaa
Unataka kusemaa!!!????
Sawaaaa sleeping beautyThank youuui
Kwahiyo sisi tunachota ww unapunguza 🙂Hapana, nakusanya baraka za kutoka kwa wengine...nazihitaji sana....mwezi huu....