We mzee week end ya kwanza ya mwezi hii wapi?🤗Naaam
Bila stories watasinzia walinzi.Mnalinda au mnapiga story ?
You're not late....Rowin uko wapi mamii?
Is because I haven't lullabied you tonight?
Oh 😘😘😘You're not late....
I wanna make you a good story before lullabying ya.You're not late....
Njoo ujibu tuhuma zako huku simiss😅😅😅😅😅😅😅😅
Hatujawahi enda wote boss japo nilitamani sana siku moja akaribie mji kasoro bahari tuzunguke viwanja💪💪💪 afu samaki sio kiwanja changu kwa nadra sana pale.
Ulale kesho na uwende kanisani.11:02
Nimesali leoUlale kesho na uwende kanisani.
Sawa, kwani ukisali na kesho kuna tatizo gani?Nimesali leo
Sina usingizi
Hivi humu hakunaga watu wa kutoa dedication song jamani🙄..mbona naitamani 🤔
Hakuna tatizo..ila Siwezi kwendaSawa, kwani ukisali na kesho kuna tatizo gani?
Hivi humu hakunaga watu wa kutoa dedication song jamani🙄..mbona naitamani 🤔
Au na ww ndio wale wanaosikiliza Redio maria 😆😆Hakuna tatizo..ila Siwezi kwenda