JamiiForums Usiku wa manane
Namuogopa Mwizi sababu anaweza kuja kwako akakuibia bado akaamua tu kukukata hata sikio au kidole, anaweza akabaka familia, anaweza akafanya uharibifu wowote,

Lakini hapa tunazungumzia wezi wa Tz ambao wengi wanatumia silaha za jadi, ukienda nchi zingine wezi hao hao wanatumia bunduki na kukumaliza ni dakika sifuri tu, yaan wana roho flani ya kikatili ambayo hailezekeki,

Kibaka unaweza kupambana nae kama hajakulia timing, nakumbuka miaka hiyooo mwananyamala kulikua na roba za mbao, unapigwa roba unahisi kabisa anaondoka na roho yako maana kwenye mbao walikua wanaweka misumari.
Wezi wao wanatumia bunduki Sasa jambazi si watatumia vifaru???
 
Back
Top Bottom